descripción
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible)
Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo
ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".
Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya
Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".
Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya
viliandikwa baada yake.
Agano la Kale
Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa
Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa
huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu.
Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta
na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki.
Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli)
visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi.
Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina
la Deuterokanoni.
Agano Jipya
Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu.
Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.
The Holy Bible in Swahili (English Version)
The Christian Bible is a collection of sacred texts of Christianity. These texts range from the very old are called "books" only, inavyomaanishwa the word "Bible" is the
plural of the Greek word "biblos" or "book".
Hutofautishwa and Tanakh, which is the sacred texts of Judaism and which probably refers to the same name of the "Bible", particularly in the Hebrew Bible versions. His
books are in the first part of the Christian Bible in the name of "Old Testament".
The Christian Bible is divided as two parts which are the Old Testament and the New Testament. The Old Testament contains texts written before Jesus Christ and the New
Testament books were written after it.
Old Testament
Basically the Old Testament is the Hebrew Bible as well, although Christian denominations differ little in it. It's that time of occurrence of Christianity there were
differences within Judaism about vilivyohesabiwa books were Scripture. The issue was removed from the year 80 AD Jewish professionals in Jabneh (Jamnia) were taking a
tough stance against the followers of Jesus.
At that time Christians were used ready version of the Greek section of the text translated in the 2nd century BC known by the name of the Septuagint and have several
books to less reserved in the original languages of Hebrew and Aramaic, or written directly in the Greek language .
So the Christian Bible was a book 7 (two of the Maccabees, Joshua son of Sira, Wisdom, Tobiti, Yudith and Baruch, as well as parts of Esther and Daniel) visivyokubaliwa
later and Jews.
7 These books came to be rejected by Martin Luther in the 16th century, then by many Protestants, but rapidly applied to the Catholic Church and Orthodox in the name of
Deuterokanoni.
NT
There are 27 books of the New Testament. The first four are the four Gospels diffuses biography, works and words of Jesus.
Some are Acts of the Apostles, the Epistles of the Apostles, especially Paul, and the Revelation of John.

Versiones anteriores
- 01/12/2020: Biblia Takatifu - Swahili Bible 5.7.0
- 10/03/2018: Biblia Takatifu - Swahili Bible 5.5.1
- Report a new version
Free Download
Código bidimensional para descargar
- Nombre del software: Biblia Takatifu - Swahili Bible
- Software Categoría: Herramientas
- Código App: tepteev.ihar.biblia_takatifu.AOURLCUBZSMVVVVE
- Versión lastest: 5.7.0
- requisito: 4.1 o superior
- Tamaño del archivo : 7.36 MB
- tiempo de actualización: 2020-01-12